• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC RUVUMA awatahadhari wanafunzi kuhusu zawadi

Imewekwa kuanzia tarehe: March 31st, 2023

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewatahadharisha wanafunzi kuacha tabia ya kupokea zawadi kutoka kwa watu wasiowajua ili kuepuka kufanyiwa vitendo vya kikatili.

Kanali Thomas ametoa tahadhari hiyo wakati anazungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Muhuwesi iliyopo katika Halmashauri ya wilaya ya Tunduru akiwa katika ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo kwenye Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma.

 “Zawadi nyingine zinaweza kuwa na nia mbaya ya kuwaharibia masomo na maisha yenu kwa sababu mnaweza kufanyiwa vitendo vya kikatili’’,alisisitiza Mkuu wa Mkoa.

Amewataka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kukataa vishawishi vinavyoweza kuwasababishia kufanyiwa vitendo vibaya na kwamba yeyote ambaye atafanyiwa vitendo hivyo atoe taarifa  haraka kwa wazazi na walimu ili hatua zichukuliwe kwa muhusika.

Kanali Thomas amewasisitiza wanafunzi kusoma kwa bidii ili baadae waweze kulitumikia Taifa kwa weledi na kuwa wanajamii bora wanafuata maadili mema ya kitanzania.

Katika hatua nyingine Kanali Laban Thomas ametoa msaada wa  mifuko ya saruji 28 inayogharimu Zaidi ya shilingi 420,000  kwa ajili ya kuweka sakafu katika vyumba viwili vya madarasa katika shule ya msingi Muhuwesi.

RC Thomas amemuagiza Meneja  Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi na Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilayani Tunduru  kuhakikisha shule hiyo inaunganishiwa huduma ya maji ya bomba ili kuwapunguzia wanafunzi kubeba ndoo za maji toka nyumbani kwa ajili ya shughuli za usafi na mazingira ya shule.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ameshakagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri zote nane za Mkoa wa wa Ruvuma ambapo katika wilaya ya Tunduru aliongozana na Mkuu wa Wilaya hiyo  Wakili Julius Mtatiro.

Imeandikwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma 

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.