Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas amewataka wananchi wa Wilaya ya Namtumbo kutooneana aibu kwa sababu ya vyama Dini au familia na badala yake waseme ukweli
Hayo ameyasema wakati alipofanya mkutano hadhara na Wananchi wa kijiji cha Mkongo tarafa ya Gulioni baada ya kutokea kwa Mgogoro kati ya wakulima na wafugaji wilayani umo.
“Kila mtu atende haki kutokana na kiapo chake tuache kuoneana aibu kwasababu ya kuogopa kuvunja urafiki au kwasababu ya dini au mpo chama kimoja hiyo haitasaidia ebu tujisaidie wenyewe kwa kusema ukweli maana hatutasikia migogoro kama tutaamua kuwa wakweli”alisema Kanali Thomas
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.