PROGRAM maalum ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ya kupanda miti ya matunda tarehe 19 ya kıla mwezi kwenye shule,vyuo na Taasisi zote za serikali mwezi huu kimkoa imezinduliwa katika sekondari kongwe ya wavulana Songea.Program hiyo ilioanza Desemba 2023 inatarajia kukamilika Aprili 19 mwaka huu ambapo lengo ni kuhakikisha inapandwa miti zaidi ya milioni nne.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.