MKuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas anatarajia kuwa mgeni rasmi katika kikao cha mwaka 2022/2023 cha tathmini ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe ngazi ya Mkoa ambacho kinatarajia kufanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Julai 18,2023 kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Kikao hicho kinajumuisha wajumbe wote ngazi ya Mkoa,Wilaya na Halmashauri nane za Mkoa wa Ruvuma..
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.