Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amekagua Milango ya Hospitali ya Wilaya ya Namtumbo ambayo inafanyiwa marekebisho baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipo Aagiza milango zaidi ya 10 ing’olewe alipofanya ziara katika hospitalini ya Wilaya ya Namtumbo mwezi Oktoba, 18 2022.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.