Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akipanda ngazi kukagua mradi wa maji Kata ya Amanimakoro Wilaya ya Mbinga ambapo serikali ya Awamu ya Sita imetoa zaidi ya shilingi milioni 448 kütekeleza mradi huu ambao tayari umeanza kuwahudumia wananchi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.