Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaagiza wajumbe wa Baraza la Nyumba na Ardhi kusimamia na kufanya maamuzi kisheria ili kupunguza na kumaliza migogoro ya ardhi.
RC Thomas alitoa agizo hilo baada kuwaapisha wajumbe watatu wa Baraza la Ardhi na Nyumba Wilaya ya Songea ambao waliteuliwa hivi karibuni na Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.