Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akikagua madawati ya Shule mpya ya msingi katika Kijiji cha Suluti wilaya ya Namtumbo wakati alipokuwa akiendelea na ziara yake ya ukaguzi wa ujenzi katika wilaya ya Namtumbo.
Serikali imetoa kiasi cha shilingi milioni 331 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ambayo ipo katika hatua za mwisho za ujenzi wa shule hiyo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.