Pichani katikati ni Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Songea leo Januari 3,2024.
Waziri Mkuu amepokewa na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.