Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimsikiliza mwananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Lilondo kata ya Wino iliyopo Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea ambapo ulihudhuliwa na wakuu Idara mbalimbali wa Serikali pamoja na Wananchi.
Huu ni mwendelezo wa ziara zake ambazo zinalenga kusikiliza kero na maoni ya Wananchi kwa ajili ya kutatua changamoto zilizopo kwenye maeneo yao.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.