Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akisikiliza taarifa kutoka kwa Mkandarasi wa kampuni ya China Railway Sevent Group (CRSG), kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Amanimakoro hadi Ruanda, wakati wa ziara yake ambayo ameifanya katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga leo tarehe 8/10/2023.
Hata hivyo Serikali imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 60 kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo ambayo yenye urefu wa kilomita 35, lengo Serikali ni kurahisisha usafirishaji na kukuongeza fursa mbalimnali kwa wananchi ili kuweza kujipatia kipato
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.