Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge na Uratibu Mheshimiwa Ummy Nderiananga akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ofisini kwake mjini Songea.
Mheshimiwa Nderiananga alikuwa mgeni rasmi kwenye kikao kazi cha kuimarisha Kamati za Usimamizi wa Maafa za Mkoa katika kuzuia na kupunguza madhara ya majanga Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.