Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa serika ya Mkoa pamoja na Viongozo wa Mila wa Mkoa wa Ruvuma wakiongozwa na Chifu Nkosi Imanuel Zulu Gama, (wa pili kushoto) mara baada ya kushiriki uzindua kumbukizi ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji ambapo kilele chake ni Februari 27,2023. Uzinduzi huo umefanyika kwenye viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Mahenge mjini Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.