MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ambalo serikali imetoia shilingi bilioni tatu kutekeleza mradi huo ambapo hadi sasa zimetumika zaidi ya shilingi bilioni mbili kutekeleza mradi huo ambao unatarajia kutumia shilingi bilioni tano hadi kukamilika kwake. Ziara hiyo aliifanya hivi karibuni
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.