• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

REA watakiwa kumaliza miradi ya umeme kwa wakati

Imewekwa kuanzia tarehe: November 27th, 2021

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametoa wito kwa wakandarasi wa mradi wa utekelezaji wa umeme wa Rea kumaliza kazi kwa mda waliopangiwa.

Hayo amesema ofisini kwake alipotembelewa na wataalamu kutoka  Bodi ya Nishati vijijini (REA) na  Bodi ya Nishashati vijijini (REB) Dodoma.

Ibuge amesema wakandarasi kabla ya kuanza kazi wapeleke mpango kazi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa pamoja na kuwajulisha wananchi katika maeneo waliyopo mda wa kufanya kazi na kumaliza ili wajue mda wa utekelezaji wa kazi hiyo na kukamilika.

“Wakandarasi  wanapoanza utekelezaji walete mpango kazi Mkoani ili mda uliopangwa usibadilishwe  katika utekelezaji  na kukimbizana na maeneo ambayo kipindi cha mvua hayawezi kupitika  itapelekea kuepuka changamoto ya barabara”.

Wakili Julius Kalolo Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati vijijini (REB) amesema baada ya kupata malalamiko kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa wamekuja na kujionea  kuwa mkandarasi bado hana mwelekeo wa kumaliza kazi kwa wakati ikiwa mradi ulianza Juni 15,2018 ulitakiwa kumalizika mwaka jana Juni 14,2020.

Kalolo amesema baada ya kufanya utafiti walimuongezea baadhi ya vijiji lakini haikuwa sababu ya kuchelewa lakini bado kuna maeneo ambayo asiweze kujenga miundo mbinu na kupeleka vifaa baadhi ya maeneo kwasababau kipindi cha mvua kinakaribia.

“Mkandarasi na Namesi anasingizia amepewa eneo kubwa lakini je eneo dogo alilofanya kazi ni lipi ilikuonyesha pamoja na ukubwa “.

Kwaupande wake Mhandisi Hassan Saidy Mkurugenzi Mkuu Wakala wa Nishati Vijijini (REA) amesema wandarasi pamoja na wafanyakazi wao wanapokuwa kazini wahakikishe wanakuwa na nidhamu na hawafanyi vitendo visivyofaa kwa kuongea maneno machafu pamoja na kuchukua rushwa.

Amesema mkandarasi analeta vifaa vyenye ubora na kama havitakuwa na ubora atarudishiwa kwa gharama zake za kurudisha na kuleta vifaa vyenye ubora,pamoja na kutunza vifaa katika mazingira mazuri na wanapokuwa katika eneo la kazi inawapasa kulipoti kwa Mbunge,diwani,mtendaji na Mwenyekiti wa kijiji ili wananchi wajue kinachoendelea katika eneo hilo.

Imeandikwa na Aneth Ndonde

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.