Picha ya pamoja Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanalı Ahmed Abbas Ahmed akiwa na wajumbe kutoka Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii baada ya kufanya kikao na Taasisi hizo ambazo ni TAWA, TANAPA, TTB, TFS, Idara ya Utalii na Makumbusho ya Taifa pamoja na Taasisi za MANTRA TANZANIA na FUTURE GENERATION .
Taasisi hizo zimekutana kwa siku mbili kwenye ukumbi wa Mipango Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kujadili maboresho ya mkakati wa utalii mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.