• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RUVUMA wajadili uzalishaji wa zao la soya na afya ya udongo

Imewekwa kuanzia tarehe: August 30th, 2024

Na Gustaph Swai-RS Ruvuma

Wadau wa kilimo, wakulima, na wataalam wa upimaji wa udongo kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wamefanya kikao  cha kujadili uzalishaji wa zao la soya na upimaji afya ya ndogo  kilichofanyika kwenye  Ukumbi wa Cottage Heritage mjini Songea.

 Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Mary Makondo amefungua kikao hicho  na kueleza namna serikali ilivyotoa kipaumbele katika sekta ya kilimo na jinsi ilivyojipanga kuongeza uzalishaji wa mazao na bidhaa za kilimo.

"Serikali imejipanga kuongeza uzalishaji, uchakataji na usafirishaji nje wa mazao ya kilimo na kugawa vitendea kazi kwa Maafisa ugani."alisema

 Katibu Tawala huyo amewaagiza wakuu wa Idara kuendelea kusimamia zoezi la upimaji wa udongo na kuhakikisha maafisa ugani wanatekeleza malengo yaliyokusudiwa.

Naye Mtafiti wa Udongo kutoka TARI, Watson Matamwa, amesema hadi sasa afya ya udongo imepimwa  Zaidi yay a mikoa 15 na kwamba udongo wa Mkoa wa Ruvuma umepungua rutuba na eneo kubwa la kilimo lina  udongo wenye asidi  nyingi, hali ambayo inasababisha kupungua kwa uzalishaji wa mazao.

Matamwa ameitaja Halmashauri ya Madaba wilayani Songea kuwa ina udongo wenye asidi kwa kiasi kikubwa, hali inayosababisha kuongezeka kwa matumizi ya mbolea na kushindwa kufikia malengo ya uzalishaji yaliyowekwa na serikali.

Mtafiti huyo ameeleza tayari wameshatoa elimu kwa wakulima kutumia chokaa ili kukabiliana na hali hiyo na kulitaja zao la Soya kama moja ya mazao muhimu katika kuboresha afya ya udongo

 Magnus Ndunguru mmoja wa wakulima walioshiriki kikao hicho, ameeleza kuwa elimu waliyoipata itawasaidia kuboresha shughuli zao za kilimo na ameiomba serikali kuendelea kuwawezesha wakulima kwa kuwasaidia kupata mitaji

Sanjari na hayo Kikao hicho kimejadili mwenendo wa Soko la zao la Soya na namna mfumo wa stakabadhi za ghala unavyosimamiwa katika Mkoa wa Ruvuma.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.