• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RUVUMA walivyodhamiria kupunguza udumavu

Imewekwa kuanzia tarehe: February 16th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema udumavu bado changamoto  ambapo takwimu zinaonesha Mkoa una udumavu kwa asilimia 35.6.

Kanali Thomas amesema hayo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa  utekelezaji wa mkataba wa lishe  uliofanyika katika ukumbi wa Chandamali Manispaa ya Songea.

Amewaagiza waganga wakuu wa Wilaya kuendelea  kusimamia utekelezaji wa masuala ya lishe katika afua mbalimbali kuanzia ngazi ya jamii,vituo vya tiba,ngazi ya kata ,vijiji na mitaa.

“Bado hatufanyi vizuri katika eneo la udumavu,Mkoa wetu udumavu ni asilimia 35.6,hivyo lazima mtambue kuwa bado tuna kazi kubwa ya kusimamia afua za lishe katika ngazi ya jamii na vituo vya kutolea huduma za afya’’,alisisitiza.

Amesema kufanyika kwa mkutano huo ni muendelezo wa utekelezaji wa maelekezo yaliyotolewa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan jijini Dodoma Septemba 30,2022.

 Amesisitiza  kuwa Mkoa wa Ruvuma utaendelea kufanya tathmini ya utekelezaji wa mkataba wa lishe mara mbili kwa mwaka na kwamba Halmashauri zote zitafanya tathimini hiyo kila robo ya mwaka ambapo amewaagiza wakuregenzi watendaji kushirikiana na waganga wakuu kusimamia utekelezaji wa masula ya lishe.

Amewaagiza wakuu wa shule kuhakikisha kila shule inatoa huduma ya chakula kwa uhakika kwa wanafunzi wote badala ya kutoa chakula kwa madarasa ya mitihani yakiwemo darasa la nne,kidato cha pili na cha nne huku madarasa mengine yakipata chakula kwa idadi ndogo.

Katika hatua nyingine Mkuu wa Mkoa ameagiza kutafutia majawabu ya tatizo la ukosefu wa virutubishi katika vyakula vinavyoliwa shuleni.

Mkuu wa shule sekondari ya Wavulana Songea Mwl.Gerasias Lugome akizungumza kwenye kikao  hicho cha tathmini ya lishe,ametoa rai kwa wakuu wa shule na wadau wa elimu kuzingatia utoaji lishe kwa wanafunzi ili kupunguza udumavu ambao ambao unachangia kushusha taaluma shuleni.

Mikoa yenye  mitano yenye  kiwango kikubwa cha udumavu nchini ni Pamoja  na Iringa inayoongoza kwa asilimia 56.6,Njombe asilimia 50.4,Rukwa asilimia 49.8,Geita asilimia  38.6 na Ruvuma asilimia 35.6Kaimu Mratibu wa Lishe Mkoa wa Ruvuma Joyce Kamanga akitoa taarifa ya lishe  kwenye mkutano wa wadau wa lishe kuhusu utekelezaji wa mkataba wa lishe uliofanyika kwenye ukumbi wa Chandamali mjini Songea

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.