Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 umeridhia mradi mkubwa wa maji wa Ngumbo wilayani Nyasa mkoani Ruvuma unaotekelezwa na RUWASA wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2.5.Mradi huo hadi sasa umefikia asilimia 90 ya utekelezaji na hadi kukamilika unatarajia kuwanufaisha wakazi 11,080 katika awamu ya kwanza na ya pili hivyo kupunguza kero ya wananchi ambao walikuwa wanatembea umbali mrefu kusaka maji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.