RUWASA Wilaya ya Songea imetekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme kuhakikisha mradi wa maji unaotekelezwa kwenye vijiji vinne vya Mtepa,Kipingo,Lituta na Madaba Halmashauri ya Madaba uliogharimu zaidi ya shilingi bilioni 1.03 unaanza kutoa maji kwa wananchi.Tayari wananchi wa Kata ya Lituta Halmashauri ya Madaba wameanza kupata maji ya bomba hivyo kumaliza kero ya muda mrefu wa ukosefu wa maji ya kutosha.TAZAMA habari kwa kina https://www.youtube.com/watch?v=uIrx22jYF6w
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.