Mgombea-mwenza wa kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akihutubia wanachama wa CCM na wananchi Jimbo la Madaba katika Kijiji cha Mtyangimbole na Limbuka kwenye mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Wilaya wa Limbuka, mkoani Ruvuma Septemba 15, 2020.
Picha zote kwa hisani ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.