Pichani katikati mwenye kilemba ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo akiwa na Timu ya wajumbe wa Kliniki Maalum ya kushughulikia kero za walimu
WALIMU 1,000 wa shule za msingi na sekondari mkoani Ruvuma wamejitokeza kuwasilisha kero zao wa wajumbe wa Kliniki Maalum ya kushughulikia kero za walimu (Samia Teachers Clinic) kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI.
Walimu hao wamejitokeza kwenye ukumbi wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Ruvuma mjini Songea katika Timu ya Samia Teachers Clinic ambayo imeanzishwa kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto za walimu kote nchini.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.