Wanafunzi wa kidato cha kwanza katika sekondari mpya ya Lilondo Kata ya Wino Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.Serikali kupitia Program ya SEQUIP imetoa zaidi ya shilingi milioni 560 kujenga sekondari hii hivyo kumaliza changamoto ya wanafunzi kusafiri umbali wa kilometa 40 kufuata sekondari ya Wino hali iliyoathiri masomo kwa baadhi ya wanafunzi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.