Wanafunzi wa kidato cha kwanza wapatao 71 wameripoti katika sekondari mpya ya Mtopesi iliyojengwa katika kijiji cha Lugagara Kata ya Kilagano Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.Serikali kupitia Program ya SEQUIP imetoa jumla ya shilingi milioni 560.5 kujenga sekondari hiyo ambayo imeanza Januari 8,2024 hivyo kumaliza changamoto ya wanafunzi kutembea umbali wa kilometa 30 kila siku kufuata sekondari ya Kilagano hali iliyosababisha baadhi ya wanafunzi kuacha shule.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.