Sekondari maalum ya wasichana katika Mkoa wa Ruvuma yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 1000 kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita imejengwa katika eneo la Migelegele Kata ya Rwinga wilayani Namtumbo ambapo hadi sasa wanafunzi zaidi ya 500 wanasoma katika shule shule hiyo kidato cha kwanza,tano na sita
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.