Serikali ya Awamu ya Sita imetoa zaidi ya shilingi bilioni 4.3 kujenga sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma katika wilaya ya Namtumbo.Sekondari hiyo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 1000 wanaosoma kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita, imesajiriwa kwa jina la Dkt.Samia Suluhu Hassan na tayari imeanza kuchukua wanafunzi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.