SEKRETARIETI ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki imeuagiza uongozi wa Halmashauri ya Tunduru kuongeza kasi katika usimamizi wa mradi wa Kituo cha Afya Homera kinachojengwa katika Kata ya Nakayaya mjini Tunduru kuhakiisha ujenzi wake unakamilika kwa asilimia 100.
Akizungumza mara baada ya kufanya ukaguzi wa mradi huo ambao serikali imetoa shilingi milioni 400 kutekeleza mradi huo,Ndaki amesema mradi huo ni wa muda mrefu hivyo sasa unapaswa kumalizika na kuanza kutoa huduma kwa wananchi wa Kata ya Nakayaya na kwamba serikali imekwishatoa fedha zote za kutekeleza mradi huo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.