Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki kwa saa nne imekagua mradi wa ujenzi wa sekondari ya wasichana ya Dkt Samia Suluhu Hassan iliyojengwa eneo la Migelegele Kata ya Rwinga Wilaya ya Namtumbo kwa gharama ya shilingi bilioni tatu .
Hata hivyo serikali imetenga shilingi bilioni nne kutekeleza mradi huo ambao unatarajia kuanza kuchukua wanafunzi wa kidato cha tano Julai mwaka huu.
sekondari hiyo inatarajia kuchukua wanafunzi wa kike zaidi ya 1000 wa kidato cha kwanza hadi cha sita
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.