Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki akiwa na mwenyeji wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Chiza Marando,baada ya Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma kukagua jengo la Dharura (EMD)katika hospitali ya Tunduru ambapo serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 330 kutekeleza mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.