Mkuu wa Mkoa Kanali Ahmed Abbas Ahmed kwa niaba ya wananchi wa Mkoa wa Ruvuma anamshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha za upanuzi na ukarabati wa uwanja wa Ndege Songea ambapo serikali imetumia zaidi ya shilingi bilioni 37 kutekeleza mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.