KAMATI ya ulinzi na Usalama wilaya ya songea mkoani Ruvuma ikiongozwa na mwenyekiti wake mkuu wa wilaya ya Songea Pololet Mgema imekagua uwanja wa ndege wa songea ili kujionea utekelezaji wa kukabiliana na virusi vya korona kwa wageni wanaotumia uwanja huo.TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=WkQbRuetm-E&t=89s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.