Mkuu wa Wilaya ya Songea Mhe, Pololet Mgema akiongozana na Viongozi mbalimbali wa Manispaa ya Songea wakati wa ziara yake aliyoifanya hivi karibuni ya kutembelea na kukagua madarasa mapya 6 katika Shule ya Sekondari ya Chandarua ambapo ujenzi wake umegharimu shilingi milioni 120
pia Serikali imetoa shilingi Bilioni 3.2 kujenga madarasa 156 katika Shule za sekondari mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.