Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekagua kivuko cha mitomoni Mto Ruvuma kinachounganisha Wilaya za Songea na Nyasa na kuahidi kuwa serikali ina mpango wa kujenga daraja katika kivuko hicho ili kuwaondolea kero wananchi kuvuka kwa mtumbwi na kuhatarisha maisha yao,TAZAMA HABARI ZAIDI HAPA https://www.youtube.com/watch?v=uBW7x38VrP8
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.