MWAKILISHI wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile akizungumza kabla ya kuzindua WILOLESI FOUNDATION MARATHON 2024 kwenye ukumbi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea
Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea (HOMSO) Dr Magafu Majura akizungumza kwenye uzinduzi wa WILOLESI FOUNDATION MARATHON 2024.Uzinduzi huo umefanyika kwenye ukumbi wa Hospitali ya HOMSO mjini Songea ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas aliyewakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.