• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SERIKALI yadhamiria kufikisha umeme kwenye vitongoji

Imewekwa kuanzia tarehe: March 16th, 2025

Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, amesema serikali imejidhatiti kuhakikisha wananchi wanapata umeme hususani katika vitongoji, na vitongoji 557 vya Mkoa wa Ruvuma vitanufaika.

 Akizungumza katika kikao cha Ushauri cha Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Songea, ameeleza kuwa Tanzania ina vitongoji takribani 64,000, na hadi sasa wamefanikiwa kupeleka umeme kwenye vitongoji 33,000.

Amesema wakati serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inaingia madarakani, kulikuwa na vijiji 4,071 visivyokuwa na umeme,  ameeleza kuwa ilani ya Chama cha Mapinduzi iliagiza kukamilisha zoezi la kufikisha umeme katika vijiji vyote nchini ifikapo mwaka 2025, na hadi sasa zoezi hilo limekamilika.

Mhe. Kapinga amebainisha kuwa serikali sasa inaelekeza nguvu katika kuhakikisha umeme unafika kwenye vitongoji ambapo vitongoji 557 katika mkoa wa Ruvuma vitanufaika na mradi huo wa kufikishiwa umeme katika awamu ya kwanza ambayo inatarajiwa kuanza hivi karibuni.

Ameongeza kuwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amejitanabaisha katika matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo ameeleza kuwa kila mmoja anahusika katika kuhakikisha maono ya Rais yanafikiwa, ifikapo mwaka 2030, asilimia 75 ya wananchi wawe wanatumia nishati safi ya kupikia, na asilimia 80 ifikapo mwaka 2034.

Amesema tafiti zilizofanywa zimeonyesha kuwa matumizi ya nishati safi ni rahisi zaidi kuliko matumizi ya nishati isiyo safi kama mkaa na kuni, ambazo gharama zake ni kubwa ukilinganisha na nishati safi ambapo Serikali inaendelea kuhamasisha wananchi kutumia nishati safi kwa manufaa ya afya na mazingira.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MUONEKANO wa baadhi ya majengo ya hospitali ya Manispaa ya Songea

    June 01, 2025
  • RUSHWA ni adui wa haki

    June 01, 2025
  • MSIKIMBILIE hasara,serikali inakuja na bei ya neema kwa mahindi Julai

    May 31, 2025
  • WAKULIMA Namtumbo wachuma neema ya ufuta kwa teknlojia mpya ya mnada wa kidigitali

    May 31, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.