Waziri wa Madini Mheshimiwa Dotto Biteko akiwa ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge wamefanya ziara katika mgodi wa makaa ya mawe Ngaka kata ya Ruanda Wilaya ya Mbinga na kuuagiza uongozi wa kampuni ya uchimbaji makaa ya mawe ya TANCOAL kuanza kulipa deni lake la bilioni kumi ambalo wanadawa na serikali kutokana na kufanya udangayifu kwenye malipo ya kodi mbalimbali serikalini.TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=m4BQsBGVigc&t=4s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.