Pichani ni Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ilipofanya ziara ya ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa kituo kipya cha afya kilichopo kata ya Litumbandyosi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ambapo serikali kupitia mapato ya ndani imetoa kiasi cha shilingi milioni 500 kujenga kituo hicho cha afya .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.