• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SERIKALI yatenga mabilioni kuanzisha kilimo cha umwagiliaji Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: July 31st, 2023

WIZARA ya Kilimo katika mwaka huu wa fedha imetenga shilingi bilioni 384 kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji huku kiasi kikubwa cha fedha kinatarajia kupelekwa mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuanzisha kilimo cha umwagiliaji.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Antony Mavunde wakati anazungumza  kwa nyakati tofauti na wananchi wa Mbambabay na Liuli wilayani Nyasa ambapo amesema serikali inapeleka fedha katika Bonde la Mto Ruhuhu  wilayani Nyasa lenye ukubwa wa hekta 3700 ili kuanzisha kilimo cha umwagiliaji.

“Mwishoni mwa mwezi huu tutamtangaza Mshauri Mwelekezi kwa ajili ya kufanya upembezi yakinifu na usanifu wa kina Pamoja na ujenzi wa Bonde lote la Mto Ruhuhu ambalo litawaruhusu wakulima kuendesha kilimo cha umwagiliaji’’,alisema.

Hata hivyo amesema katika bajeti ya mwaka huu,Wizara ya Kilimo imepanga kujenga mabwawa 100 katika nchi nzima na kwamba bwawa moja litajengwa katika wilaya ya Nyasa Kijiji cha Lundo kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji.

Naibu Waziri huyo amebainisha zaidi kuwa serikali katika mwaka huu wa fedha imetenga fedha kwa ajili ya kujenga skimu tatu za umwagiliaji wilayani Nyasa ambapo amezitaja skimu hizo kuwa ni  skimu ya Chiulu  yenye ukubwa wa hekta 7000,Lundo hekta 600 na skimu ya Kimpange hekta 400.

Amesisitiza kuwa serikali imedhamiria kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji kwa kuwa Mkoa wa Ruvuma ni ghala la taifa la chakula na Mkoa  unategemewa na nchi katika uzalishaji wa mazao ya chakula.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Thomas amesema Mkoa wa Ruvuma una utoshelevu wa chakula  na kuwa na ziada  na kwamba Chakula kilichozalishwa katika msimu 2022/2023 kinatarajia kutumika hadi msimu wa 2023/2024 ambapo mazao ya chakula zilizalishwa tani 1,598,163 na kati ya hizo  zao la mahindi zimezalishwa jumla ya tani 1,043,324.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.