Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ilipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa bweni katika shule mpya ya wanafunzi wenye mahitaji maalum iliyojengwa katika kata ya Maguu Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ambapo serikali imetenga shilingi milioni 500 kutekeleza mradi huo.
Serikali tayari imetoa fedha za kujenga madarasa,manne vyoo na bweni moja la wavulana.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.