SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia SuluhuHassan kupitia Wizara ya Afya imetenga zaidi ya shilingi bilioni 6.57kutekeleza mradi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea.
Fedha hizo ni kwa ajili ya ujenzi wa majengo mapya,ukarabati wavyumba vya kutolea huduma za afya na ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa kwa ajiliya kutolea huduma bora za afya kwa wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.