Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika mwaka wa fedha 2022/2023 imetenga zaidi ya shilingi bilioni 46 kwa ajili ya barabara za Mkoa wa Ruvuma.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas wakati anafungua kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.