• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SERIKALI yatoa bilioni moja kutekeleza miradi ya BOOST na SWASH Madaba

Imewekwa kuanzia tarehe: July 12th, 2023

Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni moja kutekeleza miradi ya BOOST na SWASH katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Madaba Wakili Sajidu Mohamed  amesema  Halmashauri hiyo imepokea zaidi ya shilingi milioni 610 kupitia mradi wa BOOST kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule sita za msingi.

Wakili Mohamed amebainisha zaidi kuwa Halmashauri hiyo pia imepokea zaidi ya shilingi milioni 436  kupitia mradi wa  SWASH kwa ajili ya ujenzi wa matundu ya vyoo na uwekaji wa miundombinu ya maji katika shule za msingi 11 .

Ameitaja miundombinu mingine inayotekelezwa kupitia mradi wa SWASH kuwa ni ujenzi wa kisima,ujenzi wa kichomea taka,ujenzi wa placenta na ujenzi wa sehemu ya kunawia mikono katika zahanati ya Gumbiro.

“Kwa niaba ya wananchi wa Madaba,tunamshukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutuletea fedha za kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo’’,alisema Wakili Mohamed.

Akizungumza baada ya kukagua miradi hiyo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kusimamia kikamilifu miradi hiyo ili iweze kukamilika katika ubora na viwango ili iweze kuanza kutumika .

Serikali ya Awamu ya Sita imetoa zaidi ya shilingi bilioni 7.7 kutekeleza mradi ya uboreshaji miundombinu ya elimu katika shule za msingi (BOOST) mkoani Ruvuma.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.