Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amekabidhi magari mapya saba ya kubebea wagonjwa na ufuatiliaji katika Halmashauri zote za mkoa wa Ruvuma kwa lengo la kuendelea kuboresha utoaji huduma za afya kwa Wanachi
Hafla ya kukabidhi magari hayo imefanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.