Serikali ya Awamu ya Sita inayongozwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imetoa fedha kiasi cha Shilingi milioni 120 ili kuboresha miundombinu ya afya katika hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea na Kituo cha afya Magagura.
Kaimu Mkuu wa Divisheni ya Mipango na Uratibu wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Zainabu Mbaruku amesema fedha hizo zinatekeleza ujenzi wa nyumba za madaktari ambazo zitasaidia Madaktari kukaa karibu na vituo vyao vya kazi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.