SERIKALI imetoa zaidi ya shilngi milioni 400 kutekeleza mradi wa kituo cha afya Mtakanini Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.Kukamilika kwa mradi huu kumesogeza huduma ya afya jirani ya wananchi hivyo kupunguza kero ya wananchi kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma ya matibabu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.