SERIKALI ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi milioni 470 kwa ajili ya kujenga sekondari kata ya Kizuka Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Afisa Mipango wa Halmashauri Wilaya ya Songea Athumani Nyange amesema tayari fedha zimeingia kwenye akaunti ya shule na kwamba kamati za ujenzi zimeundwa ambapo kazi rasmi ya ujenzi inatarajia kuanza wiki ijjayo..
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.