• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SERIKALI yatoa milioni 482 ujenzi stendi ya kisasa Songea DC

Imewekwa kuanzia tarehe: September 18th, 2023

Serikali kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini TASAF imetoa kiasi cha shilingi milioni 482 kujenga stendi mpya ya kisasa ya mabasi katika kata ya Rundusi iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Songea.

Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa stendi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) na Mbunge wa jimbo la Songea Vijijini Mheshimiwa Jenista Mhagama amesema kukalimika kwa mradi uo utaleta hamasa kubwa ya maendeleo kwa wananchi.

Mhagama amewaomba wataalamu na wasimamizi wa mradi kutanguliza uzalendo katika usimamizi pamoja na matumizi ya fedha kwani hatarajii kuona manunuzi wa vifaa vya mradi kuwa kichaka cha upotevu wa fedha.  

“Tunaomba matumizi sahihi ya fedaha yajidhihilishe katika mradi huu hatutaki kuona ubabaishaji wa taarifa za manunuzi hivyo tusifanye makosa kwenye mradi  huu wa stendi hatutapata mradi mwinge naomba tuendelee kufanya vizuri kama miradi mingine iliyopita” amesema Mhagama. 

Hata hivyo Waziri Jenista  amemshukuru Rais Dkt Samia Suhuhu Hassan kwa juhudi kubwa ambazo anazifanya katika kuleta Maendeleo kwa wananchi wake kupitia mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF

“Wananchi wezangu ni lazima tuwe na moyo washukrani kwa kuletewa miradi mingi ya TASAF hizi ni juhudi za Mheshimiwa Rais, hapa ninavyo zungumza milioni 482 zimeshaingizwa kwenye mfuko wa Halmashauri ili ujenzi wa stendi uanze mara moja” amesema Mhagama

Naye Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TAASAF taifa Ndugu Shedrack Mziray amesema amefurahishwa na viongozi wa Halmashauri pamoja na Wananchi kwa usimamizi mzuri wa miradi ambayo imejengwa kwa fedha za TASAF  kwani ni ishara ya uwajibikaji 

Amesema lengo la serikali ni kuendelea kutoa ruzuku kwa walengwa pia na kutekeleza ujenzi wa miundo mbinu ya miradi ya kimkakati ambayo itasaidia kuweka akiba na kukuza uchumi wa kaya kupitia vikundu mbalimbali

“Miradi ya TASAF ni miradi shirikishi jamii kwahiyo jamii ndiyo iliyoibua na itasimamia usimamizi wote wa utekelezwaji wa miradi kupitia kamati ya usimamizi ya CMC nia yetu mradi huu ukamilike kwa viwango vinavyostahili” amesema Mziray

  • Vile vile Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Neema Magembe ameeleza sambamba na ujenzi wa stendi hiyo pia umeambatana na miradi mitano ambayo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ujenzi wa standi

Amesema fedha zilizopokelewa kwa ajili ya mradi ni milioni 482 ambapo ameitaja miradi hiyo kuwa ni ujenzi wa vigae, ujenzi wa nguzo za umeme, eneo la kuegesha magari na ujenzi wa maduka 36 kuzunguka standi

Hata hivyo ameeleza mafanikio yatakayopatikana baada ya kukumilika kwa standi hiyo itarahisha usafiri kwa wananchi pamoja na kuongeza kipato kwa halmashauri kupitia wafanya biashara maeno ya standi pamoja na kuongeza ajira kwa vijana  na wananchi wote kwa ujumla

“Kwa niaba ya wananchi wa halmshauri ya wilaya ya Songea tunapenda kumshukuru Rias wetu Dkt Samia Suluhu Hassani kwa kazi nzuri anayoifanya ya kutuletea maendeleo  katika nyanja zote na kutulea mabadiliko makubwa ya kiuchumi kwa wananchi wake” amesema magembe

 








Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.