Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekagua mradi wa ujenzi wa zahanati ya Misufini Kata ya Luchili Halmashauri ya Namtumbo .Serikali imetoa shilingi milioni 50 kukamilisha ujenzi wa zahanati hiyo ambayo imejengwa kwa nguvu za wananchi.SOMA habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=PCFcKDWy1aM
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.