• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SERIKALI yatoa milioni 500 kujenga lami KM Moja Madaba

Imewekwa kuanzia tarehe: July 12th, 2020

SERIKALI YATOA MILIONI 500 HALMASHAURI YA MADABA KUJENGA LAMI KM MOJA

SERIKALI ya awamu ya Tano imetoa jumla ya sh.milioni 500 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa ujenzi wa barabara ya lami nyepesi ya kilometa moja katika Halmashauri ya Madaba wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.

Meneja wa TARURA Halmashauri ya Madaba Mhandisi Razaro Kitomari  amesema fedha hizo zinajenga barabara ya Kipingo-Lita na kwamba mkataba wa mradi huo ni wa siku 180 ambao umeanzia Aprili 7 mwaka huu na unatarajia kumalizika Oktoba 6 mwaka huu.

Amesema utekelezaji wa mradi huo hadi sasa ni Zaidi ya asilimia 50 na kwamba lengo la TARURA ni kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa barabara hiyo kabla ya mkataba ambapo amesema hadi sasa kazi inakwenda vizuri kwa kuwa vifaa vyote vinavyohitajika vipo katika eneo la  mradi.

“Katika mwaka wa fedha wa 2019/2020 Halmashauri ya Madaba ni miongoni mwa Halmashauri 65 nchini ambazo zimepatiwa fedha  kwa ajili ya utekelezaji wa ahadi za viongozi katika program ya ,maendeleo’’,alisema Kitomari.

Akizungumza mara baada ya kukagua mradi huo,Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma Odo Mwisho ameipongeza Halmashauri ya Madaba kwa kushirikiana na TARURA kwa kutekeleza mradi huo ambao unakwenda kuondoa changamoto ya ubovu wa barabara hiyo.

Ametoa rai kwa TARURA kuhakikisha kuwa wanajenga barabara hiyo katika viwango ambavyo vitaiwezesha barabara kudumu kwa muda mrefu kwa kuwa serikali inatoa fedha za walipa kodi ambazo zinatakiwa kutumika kulingana na thamani ya mradi uliotekelezwa.

Imeandikwa na Albano Midelo

Afisa Habari Mkoa wa Ruvuma

Julai 13,2020

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.