• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SERIKALI yatoa milioni 560 kujenga sekondari mpya Mbinga

Imewekwa kuanzia tarehe: July 13th, 2023

Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan Imetoa zaidi ya shilingi milioni 560 kupitia program ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP) kujenga sekondari mpya wilayani Mbinga.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Amina Seif amesema sekondari hiyo mpya inajengwa katika Kata ya Matarawe ambapo ujenzi wake utahusisha vyumba vinne vya madarasa,ofisi moja ya walimu,jengo la utawala,maabara tatu, maktaba, chumba cha TEHAMA,vyoo,kichomeaa taka na tanki la maji.

Hata hivyo Seif  amebainisha kuwa Halmashauri hiyo  hivi karibuni imepokea jumla  Shilingi Milioni 655,552,827.00 kati ya fedha hizo shilingi 560,552,827 ni kwa ajili ya ujenzi wa sekondari mpya ya kata ya Matarawe na shilingi milioni 95 ni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya mwalimu ya familia mbili katika sekondari ya Lusonga.

 “Kwa niaba ya wananchi wa Mbinga,namshukuru   Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutuletea fedha za kuboresha miundombinu ya elimu katika Halmashauri yetu hali ambayo itasaidia kuboresha elimu ya awali,msingi na sekondari’’,alisema.

Ameahidi kusimamia matumizi ya  fedha hizo  na kuhakikisha mradi wa ujenzi wa miundombinu hiyo ya elimu unakamilika kabla ya Oktoba 30,2023.

Serikali kupitia program ya SEQUIP katika wilaya Mbinga imetoa zaidi ya shilingi bilioni 1.8  kujenga shule mpya za sekondari katika kata za Lusonga,Amanimakoro na Matarawe.Pichani kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Mbinga Amina Seif kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mheshimiwa Kelvin Mapunda kwenye kikao maalum cha CAG mjini Mbinga

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.